Baada ya kusahau nywila ya kadi yangu ya kiotomotela nikaamua kukaa mkahawani jirani na kilipo kiotomotela na kuagiza vibanzi vikavu na sharubati baridi sana!Nikiwa nasubiri kuletewa nikafungua kipakatalishi changu na kujaribu kufungua diski mweku iliyogoma kufunguka kwa wakati huo.Nikafungua diski tepetevu na kukuta imevamiwa na mtaliga,nguvu ikaniishia nikashindwa hata kutshika wala kupalaza kisharazio.Siku yangu ikaishia hapo na nikaishia kusahau hata vibanzi na sharubati nilivyoagiza.
kiswahili kitamu sana jamani,mmenielewa hapo?
kiswahili kitamu sana jamani,mmenielewa hapo?
No comments:
Post a Comment