Thursday, 29 January 2015

Soma hii na mjifunzee

Soma hii na mjifunzee

  Baba John katoka  safari zake mbio mbio na kuingia ndani kwake,kamkuta mkewe kakaa mkewe akamuuliza vipi mbna leo mapema na upo na haraka hivyo,
Mume:Akajibu jiandae tuende kwenye msiba mama kafariki.
Mkee:Heeee mm siwezi kwenda kwenye msiba mpaka nitengeneze nywele siwezi kwenda na nywele chafu akaondoka kaenda saloon katengeza baadae karudi na kumuuliza mumewe
Mke:Hivi mama mkwee kwani alikuwa anaumwa nn mpk mauti inamkuta?
Mume:Mama hajafariki nimetoka kuongea nae sasaivi
Mke:Jamani ww si umeniambia nijiandae twende kwny msiba mama kafarikia au?
Mume:Ndio lakini aliefariki ni mama ako.
Mwanamke akaanza kulia na kupiga kelele na akamwambia mumewe baba fanya haraka twende niwai mazishi hawatanielewa nisipo onekana mwanamume nae akamjibu subili niende kunyoa nywele siwezi kwenda na nywele za hivi  ������

No comments:

Post a Comment