Wednesday, 11 March 2015

Bwege

BWEGE Ni BWEGE Tu Katoroka Kazini, Wakati BOSS Hayupo Ofisini, Akaenda Nyumbani Kwake Akamkuta BOSS Wake Kalala Na MKE Wake, Akarudi KAZINI Fasta Akamwambia Mwenzake, DUUH Nimemkuta BOSS NYUMBANI Kwangu KALALA Na MKE Wangu, Ila Nashukuru Hajaniona, Nimenyata Nikarudi Kazini Maana Angejua Kama Nilitoroka KAZINI Ingekuwa MSALA. Je! Unacho Cha Kumshauri BWEGE Huyu?

No comments:

Post a Comment