Wednesday, 11 March 2015

Polisi na jamaa

POLISI: hodi hodi hodi
JAMAA: kimyaaaa
POLISI: hodi hodi hodi
JAMAA: wewe nani?
POLISI: sisi polisi
JAMAA: mnataka nini?
POLISI: kuongea na wewe
JAMAA: kuongea na mimi?
POLISI: ndiyo
JAMAA: mko wangapi?
POLISI: tuko watatu
JAMAA: sasa kama mko watatu si muongeee wenyewe

No comments:

Post a Comment