Mjini mipango nguvu peleka ki jijini kwenu.
Jamaa aliingia saloon na mtoto akanyolewa nywele. Ndevu black fasho. mascrub na mazagazaga kibao.alipomaliza kunyolewa akasema mtoto nae anyolewe. Wakati mtoto anaendelea kunyolewa jamaa akaomba aende dukani kununua vocha. Masaa yakazidi kwenda. Jamaa haonekani. Ikabidi wamuulize yule mtoto. Baba ako kaenda wapi. Mtoto akajibu. Yule sio baba angu. Alinikuta tu njiani akasema twende tukanyolewe bure.
No comments:
Post a Comment