ETI NI KWELI? 1.Safari ya miguu kwa maskini ni mateso ila Kwa Tajiri ni zoezi.
2 Dagaa kwa maskini ni mlo wa shida ila kwa Tajiri chakula cha kujenga mwili
3. Maskini kuwa na watoto watatu ni laana au anaogopa gharama za maisha ila kwa Tajiri mtoto mmoja ni uzazi wa mpango.
4. Neno la hekima la maskini ni makelele ila matusi ya tajiri ni utani!
5.Binti wa maskini akivaa nusu uchi ataitwa malaya, ila wa tajiri ni Miss. Haya yananichanganya sana.
Vp waonaje!!?_??_?
No comments:
Post a Comment