Waswahili sis na salam zetu:
Abuu: Mambo vp?
Choti: Poa kaka
Abuu: Fresh lakin?
Choti: Kwema
Abuu: Mishe zinaendaje?
Choti: Mungu anasaidia.
Abuu: Familia inaendeleaje?
Choti: Poa
Abuu: Madogo vp?
Choti: Wanaendelea vizuri.
Abuu: Mama watoto je?
Choti: Ebooo!!
We mke wangu taarifa zake za nini ??
Nusu saa nzima salamu tu kumbe ndio ulikokua unaelekea huko??
Tuheshimiane Bw. Mdogo....
Abuu: Siohivyooo Chotii basi yaishe
Choti: Sepa zako hiyo mitego naijua
Abuu: Ohooo yameshakua haya!Basi kwa heri.
TATIZO WABONGO TUNAPENDA POROJO SANA....WE SALAM GANI DAKIKA 30!!!
No comments:
Post a Comment