Wednesday, 11 March 2015

Bwege

BWEGE Ni BWEGE Tu Katoroka Kazini, Wakati BOSS Hayupo Ofisini, Akaenda Nyumbani Kwake Akamkuta BOSS Wake Kalala Na MKE Wake, Akarudi KAZINI Fasta Akamwambia Mwenzake, DUUH Nimemkuta BOSS NYUMBANI Kwangu KALALA Na MKE Wangu, Ila Nashukuru Hajaniona, Nimenyata Nikarudi Kazini Maana Angejua Kama Nilitoroka KAZINI Ingekuwa MSALA. Je! Unacho Cha Kumshauri BWEGE Huyu?

Polisi na jamaa

POLISI: hodi hodi hodi
JAMAA: kimyaaaa
POLISI: hodi hodi hodi
JAMAA: wewe nani?
POLISI: sisi polisi
JAMAA: mnataka nini?
POLISI: kuongea na wewe
JAMAA: kuongea na mimi?
POLISI: ndiyo
JAMAA: mko wangapi?
POLISI: tuko watatu
JAMAA: sasa kama mko watatu si muongeee wenyewe

Monday, 23 February 2015

Mjini mipango nguvu peleka ki jijini kwenu

Mjini mipango nguvu peleka ki jijini kwenu.
Jamaa aliingia saloon na mtoto akanyolewa nywele. Ndevu black fasho. mascrub na mazagazaga kibao.alipomaliza kunyolewa akasema mtoto nae anyolewe. Wakati mtoto anaendelea kunyolewa jamaa akaomba aende dukani kununua vocha. Masaa yakazidi kwenda. Jamaa haonekani. Ikabidi wamuulize yule mtoto. Baba ako kaenda wapi. Mtoto akajibu. Yule sio baba angu. Alinikuta tu njiani akasema twende tukanyolewe bure. ������������

Misemo maarufu

Misemo maarufu ya kwenye daladala za Dar:

1.Yatima hadeki
2.Utamu wa chips mimba
3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni
4. Usiyempenda kaja
5. Kobe hapimwi joto
6. Acha kazi uone kaz kupata kaz
7. Ukichezea koki utalowa
8. Heshima pesa kipara kovu tu!
9. Mtumbwi hauna saitmira.
9. Silaha pesa bastola mzigo
10. Hata uoge mjini huendi
11. Chezea mshahara usichezee kazi.
12. Ukiona manyoya ujue kishaliwa
13. Ikisimama Panda
14. Pombe pombe tuu kunywea bar mbwebwe
15. Njia ya chooni haioti nyasi
16. Likizo ya maskini ugonjwa
17. When i grow up i want to be a scania
18. Hata bibi alikuwa binti
19. Kisigino hakikai mbele
20. Kama mapenz pesa kaolewe na benki
21. Hata barabara ina matuta lakin huwez panda viazi
22. Mavi hayana miba lakin ukikanyaga lazma uchechemee
23. Paka haishi kwa msela
24. Ukipendwa ujue kuna boya kaachwa
25. Tako nalo lina nywele lakin hazinyolewi
26. Mchana nzi ucku mbu
27. Ucmshangae funza kukata viuno ndio mwendo wake
28. Kama umelipenda(gari) bonyeza nyota liwe lako
29. Supermarket hawauzi mkaa
30. We nisubiri mi nakungoja.

MKE WA KUOA

MKE WA KUOA

Ukitaka majungu oa Mhaya,
Ukitaka mapenzi ya ujanja ujanja na uwizi wa mfukoni oa Mchaga,
Ukitaka uchawi oa Mfipa,
Ukitaka maneno oa Mzenji,
Ukitaka mapishi oa Mtanga,
Ukitaka mume mwenza oa Mzaramo,
Ukiwa na shamba oa Msukuma,
Ukitaka mapenzi ya kuona aibu oa Mhehe,
Ukitaka kubana matumizi oa Mpare,
Ukitaka kisukari oa Mwarabu mara tende mara halua,
Ukitaka kujichanganya oa Mkerewe au Mjita,
Na kama unataka kuwachanganya mtu na dada yake oa Mrangi,
Ukitaka kubishana oa Mnyirmba
Ukitaka kupigana oa Mkuryaa,
Ukitaka kuzaa sana oa Muha,
Ukitaka kubembelezwa na kudanganywa oa Mnyamwezi…:
[6:31PM, 23/02/2015] Africana-HNL: Misemo maarufu ya kwenye daladala za Dar:

1.Yatima hadeki
2.Utamu wa chips mimba
3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni
4. Usiyempenda kaja
5. Kobe hapimwi joto
6. Acha kazi uone kaz kupata kaz
7. Ukichezea koki utalowa
8. Heshima pesa kipara kovu tu!
9. Mtumbwi hauna saitmira.
9. Silaha pesa bastola mzigo
10. Hata uoge mjini huendi
11. Chezea mshahara usichezee kazi.
12. Ukiona manyoya ujue kishaliwa
13. Ikisimama Panda
14. Pombe pombe tuu kunywea bar mbwebwe
15. Njia ya chooni haioti nyasi
16. Likizo ya maskini ugonjwa
17. When i grow up i want to be a scania
18. Hata bibi alikuwa binti
19. Kisigino hakikai mbele
20. Kama mapenz pesa kaolewe na benki
21. Hata barabara ina matuta lakin huwez panda viazi
22. Mavi hayana miba lakin ukikanyaga lazma uchechemee
23. Paka haishi kwa msela
24. Ukipendwa ujue kuna boya kaachwa
25. Tako nalo lina nywele lakin hazinyolewi
26. Mchana nzi ucku mbu
27. Ucmshangae funza kukata viuno ndio mwendo wake
28. Kama umelipenda(gari) bonyeza nyota liwe lako
29. Supermarket hawauzi mkaa
30. We nisubiri mi nakungoja.

Thursday, 12 February 2015

Majukumu ya mama na dada wa kazi

MUME: darl ninakikao mkoani kesho naomba niandalie vitu pls
MKE: dada zile nguo za baba pmj na soksi ulifua?
DADA:ndio nimepanga kabatini. mama anarudi chumbani na kumuomba hubby wakacheki TV sebulen, lkn baada ya muda mama anamuita dada akapange suruali kadhaa na mashati kwa ajili ya safari ya kesho,dada anapanga kila kitu anatoka
MKE: kama tayari hakikisha unarekebisha yale mashuka pale kitandan weka na maji bafuni, dada anafanya na kwenda zake kulala, asubuhi dada anaamka mapema na kuandaa kila kitu ikiwamo na chai, baba anakunywa chai na kutaka kuondoka.
MKE: dada msindikize baba ili ufunge geti sbb bado ni giza
DADA: sawa mama, dada anatoka na begi la baba hadi nje kwavile mkewe yupo ndani , baba anamtaka dada abaki vizuri na watoto, dada anaitika na kusema nawao wanamuombea safari njema. Baada ya muda baba anarudi toka safari
MKE: huku akitabasam, dada si umemuona baba amerudi vipi chakula tayari?
DADA: ndio.
MKE: haya kapange meza vizuri mimi nandaa juice. Baada ya muda wanakula na baba anagundua juice sio nzuri anaamua kuiacha na kusema leo wamesahau kuweka baadhi ya vitu hivyo hataweza kuinywa. Baadae baba anakumbuka kuwa aliacha boxer zake kwenye ndoo ya maji chumban na kufunika mfuniko, anamuuliza mama vipi zile nguo zangu kwenye ndoo zilifuliwa? Maana nilisahau kusema kama zina maji
MKe: dada njoo hapa hivi zile nguo za baba chumbani ulifua?
DADA: ndio mama (lkn hasemi kama alianua na kuweka chumbani kwake akidhan atakunja baada ya kazi kupungua)
MKE: darling zilifuliwa
MUME: na watoto vipi wameshalala?
MKE: anajibu wamelala darl
MUME: vipi dereva wao alifika kuchukua pesa yake?
MKE: dada eti uncle Hassan amechukua pesa yake?
DADA: hapana wamembadilishia gari uncle Hassan amesafiri kwa muda
MKE: tutampatia darl siku akirudi acha dada aendelee kuitunza
MUME: basi vizuri, ehee vipi na tution walienda leo
MKE: ndio walienda (anamgeukia dada, si eti ee walienda si eti)
DADA: hapana Kelvin anaumwa leo siku ya pili nilinunua dawa dukan nimempa lkn hajambo
MKE: anashangaa hee mtoto mgumu huyu kumbe jana alikua mgonjwa halafu wala!!! alikua anacheza tu jamani watoto!! Asante dada umefanya vizuri
MUME: haya mimi niwaache nataka nikapumzike lkn darl nitaomba zile boxer nichome kabla ya kulala sababu zimeanza kuchoka
MKE: anaingia chumbani anafungua kabati na kuzikosa lkn kabla hajajieleza anamuona dada analeta mzigo wa boxer zikiwemo chupi za mama na mataulo
MUME: basi dada zirudishe tutachambua kesho nenda kafanye kazi zako, mume anainuka na  kuelekea kulala, lkn anagundua mke wake alimwaga nguo kitandan wkt anatafuta boxer hivyo anaamua kurudi sebuleni ili aombe kuandaliwa kitanda, kwavile chumba cha dada kipo jiran na chao anagundua dada ameacha mlango wazi, anaamua kuufunga ili mbu wasiingie lkn anaona baadhi ya mashati na suruali zake zikiwa zimenyooshwa na kuwekwa pemben huku kitanda kikiwa kimetandikwa kwa ustadi anaamua kufunga mlango na kutoka, anafika sebuleni anakuta mama anatazama tamthilia anamwambia akatandike kitanda
MKE: dada njoo, (kwa sauti ya kunong'ona) naomba ukatandike kitanda haraka
DADA: tayari nilipeleka viatu vya baba nikaamua kutoa na zile nguo
MKE: anaamka na kwenda kuhakikisha anarudi na kumwambia mumewe tayari aende akalale
MUME: anaenda kulala lkn huku akijuiliza sana ni nini amfanyie huyu dada kwa ukarimu anaowafanyia hapo nyumban, kwanza anajua ni vitu gani baba anabeba akiwa safarini, ndio pekee anaemtakia safari njema na kumuombea, ndio anaefua boxer zake na kutunza vizuri, ndio anaepika chakula kitamu, ndio anaetandika kitanda chake, ndio anaejua juice gani baba anapenda, ndio anaejua kama watoto wamerudi vipi kutoka shule, vilevile ndio anaejua kama watoto wake wanaumwa ama vipi. Sasa mnafikiri baba atamzawadia nini huyu binti ambae amebakiza kujua style anazopenda baba tu, si atamfundisha ili kesho asimsumbue tena mke wake ambae kila kitu lzm amuulize dada. Akina baba hawaridhiki lkn wamama tujitahidi hata kama tunamajukumu kiasi gani
Mchana mwema wapendwa

Opened man's zip

A woman saw a man standing with his zip open,The woman said to the man ur garage is widely open,The man said to the woman then did u see my black BMW?No.!.the woman replied.,i just saw black stick and two flat tyers